1 Kings 11:30-31

30 anaye Ahiya akachukua joho jipya alilokuwa amevaa akalirarua vipande kumi na viwili. 31 bKisha akamwambia Yeroboamu, “Chukua vipande kumi kwa ajili yako, kwa kuwa hivi ndivyo Bwana, Mungu wa Israeli asemavyo: ‘Tazama, ninakwenda kuuchana ufalme kutoka mikononi mwa Solomoni na kukupa wewe makabila kumi.
Copyright information for SwhNEN